LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2021

MBUNGE MAGESSA ATAKA ITENGWE ASILIMIA 10 YA BAJETI KUU KUKUZA KILIMO+video


 Mbunge wa Busanda, Mhandisi Tumaini Magessa ametoa mchango bungeni Dodoma Novemba 5,2021 katika mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2022/2023 ambapo ameitaka Serikali kutenga asilimia 10 katika Bajeti Kuu ili kukuza kilimo nchini.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue kwa kina kuhusu mchango wake huo.......IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages