LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 6, 2021

MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA AFUNGA MAFUNZO YA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA NA MIKOA, JIJINI DODOMA, LEO


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan amefunga mafunzo ya makatibu wa CCM wa wilaya na mikoa katika ukumbi wa NEC Makao Makuu ya Chama Jijini Dodoma leo Jumamosi tarehe 6 Novemba, 2021 yaliyofanyika kwa siku nne kuanzia tarehe 3 Novemba, 2021. 
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Christina Mndeme.
                               Makatibu wa CCM wa mikoa na wilaya  















 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages