LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2021

MCHANGO MURWA WA MBUNGE MGALU KATIKA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2022/23


 Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Mkoa wa Pwani, Subira Mgalu akichangia hoja ya mapendekezo ya mpango wa maendeleo ya Taifa mwaka 2022/2023 katika mkutano wa tano, kikao cha nne bungeni Dodoma Novemba 5,2021.


Mdau. naomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Subira Mgalu akitoa mchango wake bungeni....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages