LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 5, 2021

WAZIRI BITEKO: WANAOTOROSHA MADINI WANAITAFUTA JELA, UMASIKINI+video

Waziri wa Madini, Dotto Biteko akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 5, 2021 akielezea mafanikio ya sekta ya madini tangu Uhuru hadi sasa.

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa Madini Biteko akielezea mafanikio ya sekta hiyo pamoja na kutoa onyo kwa wanaotorosha madini kwamba wakibainika wataishia jela..





 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri wa Madini Biteko  akielezea baadhi ya mafanikio  ya sekta hiyo ya madini na kuwaonya wanaoyatorosha ......

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages