Rais Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati akifungua Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar, leo.Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Mjane wa Hayati Maalim Seif Saruf Hamad, Awena Sinani Masoud, baada ya kufungua Kongamano hilo.
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Amani Abeid Karume baada ya kufungua Kongamano hilo.
Washiriki wakiwa kwenye Kongamano hilo
Washiriki wakiwa kwenye Kongamano hilo
Rais Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Zanzibar kwenye ufunguzi wa Kongamano hilo la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, leo. (Picha zote na Ikulu)
Your Ad Spot
Nov 5, 2021
Home
featured
Zanzibar
RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA HAYATI MAALIM SEIF JIJINI ZANZIBAR NA KUREJEA JIJINI DODOMA, LEO
RAIS SAMIA AFUNGUA KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA HAYATI MAALIM SEIF JIJINI ZANZIBAR NA KUREJEA JIJINI DODOMA, LEO
Tags
featured#
Zanzibar#
Share This
About CCM Blog
Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇