LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2021

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO









Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt Hamisi  Kigwangala (kushoto) akisalimiana na  Mbunge wa Kuteuliwa, Dkt Ali Bashiru kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, baada ya Bunge kuahirishwa jioni hadi kesho. Katikati ni Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Sanga kwenye viwanja vya Bunge.
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga akiuliza swali  kuhusu tatizo la miradi ya maji 
 ambayo ujenzi wake umesimama na kwamba ni lini makandarasi watalipwa fedha zao  ili waendelee na ujenzi?

Naibu Waziri wa Maji, Injinia Maryprisca Mahundi akijibu maswali mbalimbali likiwemo aliloulizwa na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga kwamba Serikali imepanga kuwalipa makandarasi ili kazi ya ujenzi wa miradi ya maji  iliyosimama  uendelee.
Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Kaijage (kushoto) akizungumza jambo na Mbunge wa Tabora Kaskazini,  Almas Maige.
Mbunge wa Manyoni Mashariki, Yahya Masare akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu
Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo. akizungumza jambo na Mbunge wa Kyela, Ali Jumbe Mlagila baada ya kutoka bungeni leo jioni.
Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa wakifurahia jambo na Mbunge wa Sengerema,  Hamis Tabasamu walipokuwa wakiondoka baada Bunge kuahirishwa.
Wabunge mbalimbali wakibadilishana mawazo kwenye viwanja vya Bunge.
Mbunge wa Geita Mjini, Costantine Kanyasu akiingia bungeni.


Wabunge wakiingia bungeni

Mbunge wa Viti Maalumu, Hadija Hassan

Mbunge wa Vunjo, Dkt Charles Kimei

Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Mkoa wa Njombe, Neema Mgaya akiingia bungeni.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages