LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 3, 2021

MZEE MANGULA AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA KUWANOA MAKATIBU WA CCM NA MIKOA NCHINI

Na Bashir Nkoromo, CCM Blog

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Philip Mangula leo amefungua mafunzo kwa Makatibu wa Mikoa na Wilaya nchini ili kuwajengea uelewa zaidi kuhusu mambo mbalimbali iikiwemo madhumuni na imani ya CCM.


Mafunzo hayo ambayo yatafanyika kwa siku tatu, ameyafungua katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ulipo Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.


Katika mafunzo hayo ya siku tatu zaidi ya mada 17 zitatolewa na wakufunzi mbalimbali  waandamizi wa Chama na Serikali. 


Mafunzo hayo yanatarajiwa kufungwa na Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassa  Novemba 6, 2021.


Ufunguzi wa mafunzo hayo umehudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na Wajumbe wa Sekretarieti ya Chama.


Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mzee Philip Mangula akifungua mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa ugunguzi waa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mstaafu Vuai Ali Vuai
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka hamdu Shaka akiwa na baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa UWT Dk. Phils Nyimbi na Kulia ni Katibu wa NEC, Uchini na Fedha Dk.
Frank Hawassi.
Katibu Mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Gilbert Kalima wakiwa na Baadhi ya Viongozi kwenye ufunguzi wa mafunzo hayo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mzee Philip Mangula akizungumza baada ya kufungua mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo alipokuwa akizungumza  wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo
KNaibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Christina Mndeme akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo  wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akishauriana jambo na naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo.
Baadhi ya Washiriki na Wakufunzi wakiwa ukumbini wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo
Baadhi ya Washiriki na Wakufunzi wakiwa ukumbini wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo
Baadhi ya Washiriki na Wakufunzi wakishiriki kiapo cha Mwanachama wa CCM kabla ya kuanza mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo
Baadhi ya Washiriki na Wakufunzi wakishiriki kiapo cha Mwanachama wa CCM kabla ya kuanza mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo
Baadhi ya Washiriki na Wakufunzi wakiwa ukumbini wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Makatibu wa CCM wa mikoa na Wilaya nchini, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dodoma, leo

 ©2021 CCM Blog/Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages