SERIKALI imetoa TSH MILIONI 250 kwa ujenzi wa Kituo cha Afya Kisiwani Rukuba
Tulishaanza kupanua ZAHANATI ya Kisiwani hapo kwa kujenga WODI ya MAMA & MTOTO, sasa tunaendelea na ujenzi wa kupanua Zahanati hiyo iwe Kituo cha Afya - Ahsante sana SERIKALI yetu, ahsante sana RAIS wetu, MHE SAMIA SULUHU HASSAN.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
16.11.2021
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇