LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 19, 2021

WAZIRI BASHUNGWA AAHIDI KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO+video

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amefanya kikao na watumishi wa wizara hiyo kujadili na kutathmini mambo mbalimbali ikiwemo  uboreshaji wa maslahi ya watumishi na sekta ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Novemba 19,2021, katika ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.
Naibu Wiziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akihimiza ushirikiano na watumishi katika uboreshaji wa sekta hizo.
Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt Hassan Abbas  akielezea taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za wizara.
Waziri Bashungwa na Naibu wake, Gekulu pamoja na watumishi wakisikiliza wakati Katibu Mkuu akielezea taarifa ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za wizara.
Watumishi wa wizara hiyo wakiwa katika kikao hicho.








 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Bashungwa, Naibu Waziri Gekul na Katibu Mkuu, Dkt Abbas wakihimiza mshikamano na watumishi kuboresha mambo hayo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages