LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 29, 2021

JESHI LA TANZANIA LAZIDI KUNG'AA ULINZI WA AMANI DUNIANI+video


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax leo Novemba 29, 2021, amezungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma, kuelezea tulikotoka, tulipo, tunakoelekea, changamoto na mafanikio ndani ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Baadhi ya mafanikio aliyoyataja ni Jeshi la Wananchi Tanzania kushiriki kulinda amani katika Nchi mbalimbali Duniani zenye migogoro, ambapo ametaja ambazo jeshi limewahi kulinda na ambazo linalinda amani hadi sasa.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri, Dkt Tax akielezea mafanikio ya wizara hiyo.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi, Sharon Sauwa akiuliza swali kwa waziri wakati wa mkutano huo

Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Faraji  Mnyepe.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Zamaradi Kawawa akihitimisha mkutano huo.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Tax akiondoka huku akisindikizwa na  Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Zamaradi Kawawa aliyeongoza mkutano huo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri, Dkt Tax akielezea mafanikio ya wizara hiyo ikiwemo  Jeshi la Tanzania katika ulinzi wa amani  duniani....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages