LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2021

DODOMA YAIBUGIZA MANYARA 95-72 MICHUANO YA MPIRA WA KIKAPU YA CRDB BANK TAIFA CUP+video

Mchezaji wa timu ya Mkoa wa Manyara (kulia) akitafuta mbinu ya  kumtoka mchezaji wa timu ya Mkoa wa Dodoma katika mchezo wa mpira wa kikapu wa kuwania Kombe la Taifa katika mashindano ya CRDB BANK Taifa Cup yanazoendelea kwenye viwabja vya Chinangali Park jijini Dodoma.

 
Wapenzi wa mchezo wa mpira wa kikapu wakishuhudia mechi kati ya Mkoa wa Dodoma (jezi ya kijani) na Manyara(jezi ya kijivu) kwenye VIwanja  vya  Chinangali Park Novemba 11, 2021. Mashindano hayo ya Taifa yamedhaminiwa na Benki ya CRDB.









 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kuona mpambano huo kupitia kwenye clip hii ya video hapa chini.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages