LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 11, 2021

WAZIRI NCHEMBA: KWA KASI HII YA RAIS SAMIA TANZANIA ITAKUWA KAMA ULAYA+video


Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Mchemba leo Novemba 11,2021 ilikuwa zamu yake kuzungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma, kuelezea changamoto na mafanikio ya tulipotoka, tulipo na tunakokwenda kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Mkutano huo unaoshirikisha wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari unaratibiwa na Idara ya Habari Maelezo ambapo kila wizara imepangiwa kuelezea mambo hayo.

Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa makini wakati Waziri Mwigulu Mchemba akieleyea changamoto na mafanikio ya wizara hiyo.








Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Mchemba akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Samia....




 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages