LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 25, 2021

BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA YAIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 116.34 KUJENGA BARABARA MKOANI MTWARA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Mashariki Dkt. Abdul Kamara, wakisaini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 116.34 (tshs bilioni 268.18) kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Mnivata – Newala – Masasi mkoani Mtwara, yenye urefu wa kilometa 160 kwa kiwango cha lami, Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages