LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 25, 2021

MADAKTARI WAASWA KUENDELEA KUZINGATIA MAADILI YA KITAALUMA KAZINI+video

 

Msajili wa Baraza la Madaktari Tanganyika, Dkt David Mzava akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Novemba 25,2021, kuhusu uzingatiaji wa maadili ya kiutumishi kwa madaktari, madaktari wa meno na wataalamu ya shirikishi.



PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Msajili Dkt Mzava akisisitiza madaktari kuzingatia maadili ya kiutumishi wanapokuwa kazini kuwahudumia wagonjwa...

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya ccm 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages