LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 15, 2021

WAZIRI GWAJIMA:ADHIMISHENI SIKU YA KUNAWA MIKONO DUNIANI KWA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA+video




 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Ahmad Makuwani akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kunawa Mikono Duniani. Kushoto ni Afisa Mwandamizi Afya, Mazingira na Usafi wa wizara hiyo, Salvata Silayo. Dkt Makuwani amezungumza kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo, Dkt. Doroth Gwajima ambaye yupo ziarani Urusi.


Kaimu Mkurugenzi wa Afya, Mazingira na Usafi wa wizara hiyo, Joseph Bilago akizungumza maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kinga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Ahmad Makuwani (kushoto) kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Kunawa Mikono Duniani.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Makuwani akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Afya, Dkt Doroth Gwajima kuhusu maadhimisho hayo.....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages