LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 26, 2021

UVCCM YAMPONGEZA RAIS SAMIA KUWAPATIA AJIRA VIJANA 5000 NDANI YA MIEZI SITA+video


 KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kennan Kihongosi ametoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa mambo mbalimbali aliyoifanyia Tanzania ikiwemo kutoa ajira kwa vijana 5000 walioajiriwa katika vyombo vya ulinzi na usalama na taasisi mbalimbali nchini ndani ya miezi 6 ya uongozi wake.

Pongezi hizo zimetolewa katika mkutano na vyombo vya habari Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma leo Oktoba 26, 2021.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kihongosi akitoa pongezi hizo...
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages