LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 26, 2021

SERIKALI: TUNATAKA KUCHANJA WATU 100,000 KILA SIKU

 
     Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi amesema Wizara imeweka mkakati wa kuchanja Watu 100,000 kila siku ili kukabiliana maambukizi ya COVID19


Profesa Makubi amesema lengo hilo litatimia kwa kuwa wameamua kuwa na Watu ambao wanafanya kazi hadi ngazi ya chini kwa walenga hivyo Elimu itafikishwa moja kwa moja


Chanjo zinazolengwa ni dozi 1,065,000 za Sinopharm ambazo ziliingia Nchini Oktoba 8, 2021 katika mpango wa Msaada wa COVAX

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages