LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 12, 2021

TANZANIA GIRL GUIDES YAFANIKISHA MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Frank Sanga aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo, akihutubia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani iliyoandaliwa na Chama cha Skauti wa Kike Tanzania Girl Guides (TGGA) katika Makao Makuu ya chama hicho Upanga Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi. akielezea umuhimu wa maadhimisho hayo
Katibu Mkuu wa TGGA Zanzibar,Adila Kassim akitoa neno la utangulizi  na salamu kutoka Zanzibar wakati wa maadhimisho hayo.
Katibu Mkuu wa TGGA Taifa,  akisoma risala wakati wa maadhimisho hayo.
Kamishna wa TGGA, Rose Goima akitoa maelezo kwa mgeni rasmi, Frank Sanga kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TGGA.
Mgeni rasmi, Sanga akipata maelezo kutoka kwa Rehema Kijazi  kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TGGA.
Girl Guide wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa maadhimisho hayo.

Viongozi wa TGGA wakiimba wimbo wa Taifa kabla zya kuanza kwa maadhimisho
Kamishna Mkuu wa TGGA, Hangi akihutubia wakati wa maadhimisho hayo.
Baadhi ya wanachama wa TGGA na wageni waalikwa.




Girl Guide wakitumbuiza kwa nyimbo.
Afisa Mawasiliano wa TGGA, Fauster akielezea mpango wa TGGA kuanzisha Maktaba maalumu ya watoto wa kike watakaoruhusiwa  kwenda kila wiki makao makuu ya TGGA kujisomea  vitabu mbalimbali pamoja na kupata mafunzo.
Kamishna Mkuu wa TGGA, Hangi akimkabidhi zawadi mgeni rasmi, Frank Sanga.
Mshauri wa TGGA, Victoria Mushi akitoa shukrani baada ya mgeni rasm, Frank Sanga kuhutubia.








 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video hapa chini ujue yaliyojiri katika maadhimisho hayo...

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda, Blog ya Taifa ya CCM, 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages