LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 21, 2021

RAIS DK. MWINYI AWAAPISHA VIONGOZI WANNE, IKULU, ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla  kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Suleiman Abdulla Salum  kuwa Katibu wa Tume ya Utangazaji hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Capt.Khatib Khamis Mwadini   kuwa  Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakati wa  hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Balozi Masoud Abdalla Balozi  kuwa Katibu wa Rais wa zanzibar -Ofisi ya Rais - Ikulu   hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu, Zanziar).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages