LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 21, 2021

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA FEDHA ZILIZOTOLEWA KWA AJILI YA MIRADI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya uratibu wa utekelezaji wa mpango  wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO 19, akizungumza katika kikao cha kamati hiyo, ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, leo Oktoba 21, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages