LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 20, 2021

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AELEZEA MAKUBWA YANAYOFANZWA NA SERIKALI CHALINZE

Ridhiwani Kikwete Mbunge Chalinze akizungumza na wananchi Kibindu juu ya hatua mbalimbali zinazofanywa na serikali  kutatua kero za maisha. "Tumewajulisha juu ya mradi wa Maji Mjembe na Kwamsanja, mgawanyo wa Trilioni 1.3 za Msaada, mapungufu ya nyumba za Walimu,malezi na uzazi"


  Ridhii Kikwete Mbunge Chalinze akitembelea kuona baadhi ya barabara yilizoanza kufunguliwa katika Kata ya Bwilingu na Pera. Barabara hizi ni kuwezesha mawasiliano rahisi katika mji wa Chalinze.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages