*UTEKELEZAJI WA MIRADI MIPYA KWENYE SEKTA YA AFYA NDANI YA JIMBO LETU*
Baadhi ya majengo ya Zahanati ambayo wananchi wamechangia nguvu zao kujenga.
JUMLA ya Zahanati 15 kujengwa kwa nguvu ya wananchi katika Jimbo la Musoma Vijijini ili kuunga jitihada za serikali kuboresha sekta ya afya .
*Zahanati 15
*Wodi 3 za Mama & Mtoto (Zahanati za Kisiwani Rukuba, Bukima & Nyegina)
*Vituo 2 vya Afya (Bugwema & Makojo: kwa mchango mkubwa Serikali)
*Hospital ya Wilaya inayojengwa na Serikali (haijakamilika: kila Kijiji kinachangia Tsh milioni 2)
*HUDUMA ZA AFYA ZILIZOPO*
*Zahanati 24 za Serikali
*Zahanati 4 za Binafsi
*Vituo vya Afya 2 (Murangi & Mugango)
*Magari 5 ya Wagonjwa (Ambulances 5: zilitolewa na Mbunge wa Jimbo)
*ZAHANATI MPYA 15 ZINAZOJENGWA NA WANAVIJIJI*
1.*BUIRA*: KIJIJI CHA BUIRA, KATA YA BUKUMI
2. *BUSEKERA*: KIJIJI CHA BUSEKERA, KATA YA BUKUMI
3. *BURUNGU*: KIJIJI CHA BUKUMI KATA, BUKUMI
4. *BUTATA* : KIJIJI CHA BUTATA KATA, BUKIMA
5. *BWAI KWITURURU* : KIJIJI CHA BWAI KWITURURU, KATA YA KIRIBA
6. *CHIMATI* : KIJIJI CHA CHIMATI, KATA YA MAKOJO
7. *CHIRORWE* : KIJIJI CHA CHIRORWE, KATA YA SUGUTI
8. *KAKISHERI* : KIJIJI CHA KAKISHERI, KATA YA NYAKATENDE
9. *KURUKEREGE* : KIJIJI CHA KURUKEREGE, KATA YA NYEGINA
10. *KURWAKI* : KIJIJI CHA KURWAKI, KATA YA MUGANGO
11. *MANEKE* : KIJIJI CHA MANEKE, KATA YA BUSAMBARA
12. *MKIRIRA* : KIJIJI CHA MKIRIRA, KATA YA NYEGINA
13. *MMAHARE* : KIJIJI CHA MMAHARE, KATA YA ETARO
14. *NYABAENGERE*: KIJIJI CHA NYABAENGERE, KATA YA MUSANJA
15. *NYASAUNGU* : KIJIJI CHA NYASAUNGU, KATA YA IFULIFU
*Baadhi ya Zahanati hizo zimepokea MICHANGO ya FEDHA kutoka SERIKALI KUU
*Wanavijiji na Viongozi wao (Mbunge wa Jimbo & Madiwani), na baadhi ya Wazaliwa wa Musoma Vijijini) ndio WACHANGIAJI WAKUU wa ujenzi huo.
*Halmashauri yetu (Musoma DC) inashauriwa nayo ianze kuchangia ujenzi wa Zahanati hizo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇