Tegeta, Dar es Salaam
Kanisa Halisi la MUNGU BABA imeandaa Ibada kubwa ya Mauzo na Uzalishaji ambayo itafanyika Jumapili ya Oktoba 10, 2021 (26 Abu, Vol.2) katika Viwanja vya Kanisa hilo, lililopo Tegeta Namanga, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
"Tunakukaribisha/Wakaribisha Wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali kwa ajili ya kutangaza na kuuza bidhaa za aina zote kwenye ibada ya mauzo ya Uzalishaji itakayofanyika kwenye Viwanja vya Kanisa Halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta Namanga", limesema tangazo la Kanisa hilo.
Kwa mujibu wa Tangazo hilo, Ibada hiyo ya Mauzo itafanyika kuanzia saa 11: 00 Alfajiri hadi saa 12 jioni.
Oct 6, 2021
Home
Biashara
featured
KANISA HALISI LAWAKARIBISHA WAZALISHAJI NA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA NA KUUZA BIDHAA ZAO KATIKA IBADA YA MAUZO NA UZALISHAJI, JUMAPILI HII
KANISA HALISI LAWAKARIBISHA WAZALISHAJI NA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA NA KUUZA BIDHAA ZAO KATIKA IBADA YA MAUZO NA UZALISHAJI, JUMAPILI HII
Tags
Biashara#
featured#
Share This

About Bashir Nkoromo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ashukuriwe CHANZO HALISI CHA MEMA NA MAZURI
ReplyDeleteNi fursa nzuri sana kwetu wazalishaji wa bidhaa mbalimbali. Tunashukuru kwa hii fursa adimu na muhimu kwetu
ReplyDelete