LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 18, 2021

IKULU: RAIS SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA NYAMA NA MRADI WA MAJI SAFI LONGIDO MKOANI ARUSHA, LEO

Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uandaaji wa Nyama, baada ya kuzindua Kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas Ltd, kiliopo Eurendeke Longido mkoani Arusha, akiendelea na ziara yake ya kikazi mkoani humo, leo
 
Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uandaaji wa Nyama, baada ya kuzindua Kiwanda cha Nyama cha Eliya Food Overseas Ltd, kiliopo Eurendeke Longido mkoani Arusha, akiendelea na ziara yake ya kikazi mkoani humo, leo. Watatu Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo
Rais Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji Safi na Salama Longido mkoani Arusha leo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo wa Arusha John Mongela na wanaoshuhudia (baada ya MC) kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na Waziri wa Maji Jumaa Aweso,
Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza wakati wa kuzindua Mradi wa Maji Safi na Salama Longido mkoani Arusha leo.
Baadhi ya viongozi wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa mradi huo wa maji.

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa mradi huo wa maji (Picha zote na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages