LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 15, 2021

ASKOFU CHANDE: RAIS SAMIA YUKO MAKINI, NI MCHAPAKAZI TUMUOMBEE+video

 ASKOFU Dkt. Evance Chande wa Kanisa la EAGT Nazaret, Ipagala jijini Dodoma, akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma, kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan alizozifanya kwa muda mfupi wa miezi sita, amesema ameonesha kuwa yupo makini na mchapakazi hivyo inatakiwa Watanzania kumuunga mkono kwa kumuombea.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Askofu Dkt. Chande akitoa pongezi hizo kwa Rais Samia Oktoba 11,2021.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
 Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages