Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametoa salamu za rambirambi za chama hicho alipokuwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi, Waziri Mkuu (UWEKEZAJI), Hayati William Ole Nasha kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Septemba 30,2021.
Chongolo akiifariji familia ya Hayati Ole Nasha
Chongolo akiweka shada la maua
Akitoa heshima za mwisho
Akiondoka baada ya kutoa heshima za mwisho.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia kwenye clip hii ya video Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya chama hicho.....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇