Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango na Mke wake, Bi. Jenisia Mpango wakiaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiweka shada ya maua kwenye jeneza la mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021
Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho.
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo akitoa heshima za mwisho.
Mawaziri na manaibu waziri wakitoa heshima za mwisho.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakipita kutoa heshima za mwisho.
Waheshimiwa Wabunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ngorongoro na Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (uwekezaji), Marehemu William Tate Ole Nasha tukio lililofanyika leo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, Septemba 30, 2021
Baadhi ya wananchi kutoka Jimbo la Ngorongoro wakitoa heshima za mwisho.
Aliyekuwa Dereva wa Hayati Ole Nasha,Fikiri Madinda akitoa heshima za mwisho.
Aliyekuwa dareva wa Hayati Ole Nasha akilia kwa uchungu huku akifarijiwa na mmoja wa waombolezaji.
Mjane wa Hayati Ole Nasha akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe.
Mjane wa Hayati Ole Nasha akisaidiwa baada ya kuishiwa nguvu.
Jeneza lenye mwili wa Hayati Ole Nasha likiondolewa kwenye viwanja vya Bunge kupelekwa kwenye gari tayari kwenda kuhifadhiwa kwa ajili ya kusafirishwa kwenda kwao Ngorongoro kwa mazishi.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇