LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 24, 2021

RAIS SAMIA AREJEA NYUMBANI AKITOKEA ZAMBIA, JIONI HII

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akishuka kutoka kwenye ndege baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, jioni hii, leo Agosti 24,2021 akitokea Nchini Zambia alikohudhuria Sherehe ya kuapisha kwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Hakainde Hichilema. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages