LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 24, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MPYA WA ZAMBIA HICHILEMA NA UHURU KENYATA WA KENYA MJINI LUSAKA, LEO

-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.
-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta walipokutana mjini Lusaka wakati wa sherehe ya uapisho aa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, leo Agosti 24,2021.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages