Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda alipowasili Ikulu. Kigali mchini humo, leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akitambulisha Ujumbe aliofuatana nao kwa mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame alipowasili Ikulu Kigali Nchini humo, leo Agosti 02, 2021.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya kumbukumbu, alipowasili Ikulu. Kigali mchini humo, leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇