Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la Chai la Wakulia Tea Company Limited lililopo eneo la Kyimbila wilayani Tukuyu, Agosti 2, 2021. Alikuwa katika zara ya kikazi mkoani Mbeya.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kitalu cha miche ya chai cha shamba la Chai la Wakulima Tea Company Limited lililopo eneo la Kyimbila wilayani Rungwe, Agosti 2, 2021. Alikuwa katika zara ya kikazi Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇