LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 2, 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS KAGAME WA RWANDA, KATIKA SIKU YA KWANZA YA ZIARA YAKE NCHINI HUMO, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Paul Kagame wa Rwanda Ikulu, Kigali Nchini Rwanda leo Agosti 02, 2021 akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake nchini humo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages