LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 3, 2021

MBUNGE WA USHETU, WAZIRI WA ULINZI NA JKT ELIAS KUANDIKWA AFARIKI DUNIA

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga amefariki Dunia leo Jumatatu Agosti 2, 2021 wakati akiendelea kupata matibabu Jijini Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages