Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman aliyemaliza muda wake hapa nchini Balozii Ali Bin Abdallah Bin Salim Al Mahrouqi, baada ya Balozi huyo kuwasili Ikulu Chamwino jijini Dodoma kwa ajili ya kumuaga leo. Picha ya kwanza (juu), Rais Samia alipokuwa akimkaribisha Balozi huo. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇