LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 12, 2021

KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE CHA MASUALA YA UKIMWI CHAFANYIKA JIJINI DODOMA, LEO

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Ally Possi akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Wizara hiyo iliwasilisha Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti maambukizi mapya katika tasnia hizo. PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages