RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa makabrasha ya Sensa na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Spika Mstaafu Anne Makinda baada ya mazungumzo yao alipofika na ujumbe wake Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzoIkulu Jijini Zanzibar, leo.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Balozi Mohamed Hamza na (kushoto) Spika Mstaafu Anne Makinda walipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar, leo.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa pamoja na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Anne Makinda na Mtakimwi Mkuu wa Zanzibar Mayasa Mahfoudh na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka Zanzibar.Balozi Mohamed Haji Hamza.(Picha na Ikulu)
Your Ad Spot
Aug 12, 2021
Home
featured
Zanzibar
RAIS DK. MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMISAA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI TANZANIA IKULU, ZANZIBAR, LEO
RAIS DK. MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMISAA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI TANZANIA IKULU, ZANZIBAR, LEO
Tags
featured#
Zanzibar#
Share This
About Bashir Nkoromo
Zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇