LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 25, 2021

RAIS MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA HESHIMA WA SLOVAKIA

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa  Heshima Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati) wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo Agosti 25, 2021 akiwepo na Mratibu wake  hapa Zanzibar  Mhe.Ibrahim Rara.(PICHA ZOTE NA IKULU).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa  Heshima wa Tanzania katika Jamhuri  ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw  wakati alipofika leo Agosti 25, 2021 Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimsikiliza Mwakilishi wa  Heshima wa Tanzania katika Jamhuri  ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw  wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages