LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 12, 2021

RAIS DK. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA PROF. KABUDI IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa (wAPILI kulia) alipofika na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, leo. 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Tanzania Mhe Prof.Palamagamba Kabudi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katika Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)  

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages