LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 16, 2021

KATIBU MKUU UWT DK. PHILIS NYIMBI ATEMBELEA UWT MKOA DAR ES SALAAM, LEO

Katibu Mkuu  wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Dk. Philis Nyimbi, akizungumza na viongozi wa umoja huo Mkoa wa Dar es Salaam, katika Ofisi ya UWT mkoa, kwenye Jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo.Kushoto ni Mwenyekiti wa UWT wa Mkoa huo, Florance Masunga na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa  (NEC) ya CCM Angel Akilimali.
MWENYEKITI wa  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar  es Salaa, Florance Masunga (kushoto) akitoa  taarifa ya utekelezaji ya Umoja huo kwa Katibu Mkuu wa   UWT Dk. Philis Nyimbi, (katikati)  wakati Katibu Mkuu huyo, alipotembelea ofisi ya Jumuiya ya CCM mkoani humo, leo.

KATIBU Mkuu  wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)Dk. Philis Nyimbi ,akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa  Umoja huo wa Mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuwatembelea na kuzungumza nao, leo.

Katibu Mkuu  wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Dk. Philis Nyimbi, akiagana na viongozi wa umoja huo Mkoa wa Dar es Salaam, baada ya kuwatembelea na kuzungumza nao katika Ofisi ya UWT mkoa, kwenye Jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam, Wapili kulia ni Mwenyekiti wa UWT wa Mkoa huo, Florance Masunga na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa  (NEC) ya CCM Angel Akilimali.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages