Gilbert Kalima
Na Bashir Nkoromo, CCM Blog
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Tanzania Gilbert Kalima anapokelewa rasmi leo Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dodoma leo.
Kwa nujibu wa Taarifa, mapokezi hayo yatafanyika kuanzia saa 7 mchana, na yatahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Jumuiya hiyo, wa CCM, Umoja wa Vijana wa CCM na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).
Karima aliteuliwa hivi karibuni katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kikichofanyika jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu Hassan.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇