LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2021

VIJANA WA PAMBANA FASAHA UKONGA, WAZINDUA RASMI BONANZA LAO LA MICHEZO LEO, WAFANYA USAFI HOSPITALI YA UKONGA

Diwani wa Kata ya Ukonga jijini Dar es Salaam Bendera ramadhani (Wapili kushoto) akizungumza na Muweka hazina wa muda wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha Winifrida Bura alipofika wakati wakati Wanakikundi hicho walipokuwa wakifanya usafi kwenye Hospitali Kuu ya Ukonga, ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi hicho, leo. Kushoto ni Dickson Mujungu wa Kikundi cha TanzaZebra pia cha Ukonga ambacho pia kimeshirikia Bonanza hilo. Kulia ni Judith Massawe wa timu ya soka ya TanZebras
Vijana wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha wakifanya Joging wakati wakiingia kwenye Hospitali Kuu ya Ukonga, kufanya usafi ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi hicho, leo.

Vijana wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao, kabla ya kuanza kufanya usafi kwenye Hospitali Kuu ya UKonga, ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi hicho, leo.
Vijana wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha na TanZebra wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wao, kabla ya kuanza kufanya usafi kwenye Hospitali Kuu ya UKonga, ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi hicho, leo.
Vijana wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha na TanZebra wakifanya usafi kwenye Hospitali Kuu ya UKonga, ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi hicho, leo.
Vijana wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha na TanZebra wakifanya usafi kwenye Hospitali Kuu ya UKonga, ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi hicho, leo

Kijana wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha na akifanya usafi kwenye Hospitali Kuu ya UKonga, ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi hicho, leo

Viongozi wa Kikundi cha Vijana cha Uhamasishaji Vipaji mbalimbali ikiwemo michezo mbalimbali na Ujasiriamali cha Pambana Fasaha na TanZebra wakiwa katika picha ya kumbukumbu wakati wa vikundi hivyo kufanya usafi kwenye Hospitali Kuu ya UKonga, ikiwa ni sehemu ya shughuli za uzinduzi rasmi wa Bonanza la kikundi cha Pambana Fasaha, leo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages