LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 30, 2021

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo baada ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. IKULU




Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu  ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages