Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa ameishauri Serikali kuongeza nguvu kwenye ukusanyaji wa kodi ili kupata mapato mengi yatakayosaidia ujenzi wa Taifa, lakini pia amesikitishwa na bajeti ndogo iliyotengwa kuendeleza kilimo ambacho ni muhimu kwa uzalishaji wa mazao ambayo ni malighafi ya viwanda.
Pamoja na mambo mengine, Mbunge Magessa ameyazungumza hayo leo bungeni Dodoma, akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti Kuu ya Serikali ya 2021/2022.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video Mbunge huyo akitoa mchango wake huo.....
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇