LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 17, 2021

KAENI NA WAWEKEZAJI WA MITANDAO MUWEKE SAWA SUALA LA KODI, WASIUMIZWE WANYONGE-MBUNGE KISWAGA

 

Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga ameishauri Serikali kukaa meza moja na wawekezaji wa mitandao ya simu kuliweka sawa suala la tozo za kodi ili wapate uhalisia kwa lengo la  kutowaumiza wanyonge

Pamoja na mambo mengine, Kiswaga ameishauri pia serikali kuweka utaratibu wa kuwaenzi wanawake waliolitumikia Taifa vizuri kwa kutoa mfano wa akina Getrude Mongela, Anna Makinda.....

Ameyazungumza hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti Kuu ya Serikali ya 2021/2022 bungeni Dodoma leo Juni 17,2021.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kiswaga akitoa mchango huo pamoja na mingineyo.....

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages