LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 29, 2021

NEC CCM YAWAPONGEZA RAIS SAMIA NA DKT MWINYI KWA UCHAPAKAZI+video


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa NEC wa White House Makao Makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo, ambapo ametangaza maazimio ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Ikiwemo kumpongeza Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi kwa utendaji wao mzuri tangu washike madaraka.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video Shaka akielezea kuhusu pongezi hizo.....
 

Imeandaliwa na Richard Mwaikenda 

Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

 0754264203

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages