LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 29, 2021

MAMBO YA BUNGENI LEO JUNI 29, 2021.

Wabunge wakiwahi kuingia bungeni Dodoma kuhudhuria Mkutano wa Tgatu, Kikao cha 61 ambacho kimeahirishwa  asubuhi baada ya kipindi cha maswali  na majibu. Bunge la Bajeti ambalo limedumu kwa miezi mitatu linahitimishwa kesho.
Mbunge wa Liwale, Abdalah Kuchauka

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Dkt Angeline Mabula (kulia) na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Suma Fyandomo Ikenda.

Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Alice Kaijage
Mbunge wa Viti Maalumu, Naghwenya Kaboyoka
Mbunge wa Kasulu Mjini, ambaye pia ni Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako.
Mbunge wa Viti Maalumu, Christine Ishengoma.
Mbunge wa Nyasa, Stellah Manyanya.
Mbunge wa Singida Mashariki, Miraji Mtaturu.

Mbunge wa Kalenga, Jackson Kiswaga.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Lucy Mayenga.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, , Janeth Mahawanga.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza, Ngw'asi Kamani.

 Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Mkoa wa Mbeya, Bahati Ndingo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages