Kikao hicho ambacho hufanyika mara moja kila baada ya miezi mitatu huwakutanisha Kamati Tendaji za Kolping parokia zote za Jimbo la Dar es Salaam, kutathmini utendaji wa utume huo, changamoto na mafanikio jimboni.
Kolping ni chama cha Kitume katika Kanisa Katoliki ambacho huelimisha na kusaidia makuzi katika nyanja zote za maisha ya wanachama wake na jamii kwa ujumla. Utume huu unaimarishwa kwa njia ya sala, elimu na kazi.
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kitume cha Kolping Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika kikao cha kawaida kilichofanyika Parokia ya Benedict Abate Wazo Hill, jijini mwishoni mwa wikiKatibu wa Kolping Jimbo la Dar es Salaam, Didas Kamugisha na Mwenyekiti wake, Diocress Rutazaa wakibadilishana mawazo katika kikao cha kawaida kilichofanyika Parokia ya Benedict Abate Wazo Hill, jijini mwishoni mwa wiki
Wajumbe wa Chama cha Kitume cha Kolping Jimbo Kuu la Dar es Salaam Regina Kessy (kushoto) na Anitha Matola, wakiwa katika kikao cha kawaida kilichofanyika Parokia ya Benedict Abate Wazo Hill, jijini mwishoni mwa wikiBaadhi ya wajumbe wa Chama cha Kitume cha Kolping Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika kikao cha kawaida kilichofanyika Parokia ya Benedict Abate Wazo Hill, jijini mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kitume cha Kolping Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika kikao cha kawaida kilichofanyika Parokia ya Benedict Abate Wazo Hill, jijini mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kitume cha Kolping Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika kikao cha kawaida kilichofanyika Parokia ya Benedict Abate Wazo Hill, jijini mwishoni mwa wikiBaadhi ya wajumbe wa Chama cha Kitume cha Kolping Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika kikao cha kawaida kilichofanyika Parokia ya Benedict Abate Wazo Hill, jijini mwishoni mwa wiki
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Benedict Abate Wazo Father Sabas (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Chama cha Kitume cha Kolping Jimbo Kuu la Dar es Salaam baada ya kikao cha kawaida kilichofanyika parokiani hapo mwishoni mwa wiki. (Picha zote na Mpigapicha Maalum)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇