Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi kwenye Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Mabodi.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo. Katikati ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashuri Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi na K7shiti ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Hemed Suleiman Abdulla.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi akisoma ajenda wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. walioketi ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Hemed Suleiman Abdulla. Baadhi ya Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Baadhi ya Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho. (Picha zote na Ikulu, Zanzibar)
Your Ad Spot
Jun 19, 2021
Home
featured
siasa
KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR, CHAFANYIKA LEO JIJINI ZANZIBAR
KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM ZANZIBAR, CHAFANYIKA LEO JIJINI ZANZIBAR
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇