Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), David Silinde amekubali
ombi la Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka kuambatana naye kwenda jimbo la
Lupa, Chunya, mkoani Mbeya kutatua kero za barabara zilizoharibika wakati wa
mvua.
Ombi hilo limetolewa na Mbunge Kasaka wakati wa kikao cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 12, 2021.
Mdau nakuomba Mendeleev kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kasaka akilipambania jimbo lake na majibu kutoka kwa Naibu Waziri Silinde....
imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Your Ad Spot
May 13, 2021
NAIBU WAZIRI SILINDE NA KASAKA KUTINGA LUPA KUTATUA KERO YA BARABARA+video
Tags
featured#
Habari#
Share This
About Richard Mwaikenda
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇