LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 13, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA AIKABIDHI PSSSF HATI KWA KUFANIKISHA MAONESHO YA MAKISATU DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hati Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA. Hosea Kashimba kwa kutambua mchango wa Mfuko wa  PSSSF katika kufanikisha maonesho ya Mashindano ya kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Mei 2021.


Waziri Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wadau waliofanikisha maonesho hayo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages